NonsenseKawaida ya hawa vibwengo wa kifikra, wanalumumba. Kila mara dikteta wao anapoibuka na kauli za kutamausha huwa wanajiliwaza na kuficha aibu na habari kama hizi. Pumba zao wamezihamisha huku kutoka hapa, https://www.jamiiforums.com/threads/nchi-makini-huwa-aiteteleke-kenya-acheni-uzandiki.1506731/
Kawaida ya hawa vibwengo wa kifikra, wanalumumba. Kila mara dikteta wao anapoibuka na kauli za kutamausha huwa wanajiliwaza na kuficha aibu na habari kama hizi. Pumba zao wamezihamisha huku kutoka hapa, https://www.jamiiforums.com/threads/nchi-makini-huwa-aiteteleke-kenya-acheni-uzandiki.1506731/
Yenu imeshindwa kuweka Huduma Tanzania yote na uko hapa unajisumbua na Turkana pekee. Remember the poorest county in Kenya, Turkana, has less malnutrition than Tanzania.Hilo povu ungeelekeza kwa serikali yako Jinga ya Jubilee ingesaidia kupeleka huduma huko turkana
Yenu imeshindwa kuweka Huduma Tanzania yote na uko hapa unajisumbua na Turkana pekee. Remember the poorest county in Kenya, Turkana, has less malnutrition than Tanzania.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Wanatumia kale kamstari ka biblia kanakisema aliyekuwanacho ataongezewa.Hivi tafsiri ya Maendeleo kwa Kenya ni Ipi?
Hapo hatujasitisha kuingiza misosi kwao.. tukisema stop ndo itakuwa all Kenya's wakubwa kwa watoto utapiamlo utawahusu tu😁😁Halafu utasikia wakisema ATI SISI (KENYA) TUKO NA GDP KUBWA,,,while living standard ya watu wake, ni mbaya zaidi ya mbaya yenyewe.
Tofautisha food shotage na utapiamlo. Food shortage inaweza kutokea anywhere kwa kipindi flani. Tanzania kuwa na shirtage ya chakula kwa kipindi hicho ni jambo la kawaida na nadhani sasa hivi hiyo % imeshuka sana kulingana na factors nyingi kama seasons, nk. Ila utapiamlo ni lishe duni kwa watoto inayotokana na ukisekanaji wa chakula cha kutosha kwa muda mrefu (ndio maisha ya eneo husika)67% of Turkana children being malnourished is child's play to 78% of ALL Tanzanian kids being malnourished especially considering Turkana is the poorest region in Kenya.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Tanzania: 78% of People Affected By Food Shortages - Study
How can it be the poorest in the world when only 67% are malnourished while the whole of Tanzania 78% are malnourished? Are you even thinking. I'm wondering, if 78% is your national average then what can we say about the poorest region in Tanzania?Actually turkana isn’t poorest in kenya, But poorest region of the World, see the attached
How can it be the poorest in the world when only 67% are malnourished while the whole of Tanzania 78% are malnourished? Are you even thinking. I'm wondering, if 78% is your national average then what can we say about the poorest region in Tanzania?
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
At 34%, Tanzania suffers the highest levels of malnutrition in EAC. Please, sit down. You clearly aren't built for this.Tofautisha food shotage na utapiamlo. Food shortage inaweza kutokea anywhere kwa kipindi flani. Tanzania kuwa na shirtage ya chakula kwa kipindi hicho ni jambo la kawaida na nadhani sasa hivi hiyo % imeshuka sana kulingana na factors nyingi kama seasons, nk. Ila utapiamlo ni lishe duni kwa watoto inayotokana na ukisekanaji wa chakula cha kutosha kwa muda mrefu (ndio maisha ya eneo husika)
Wakenya mna maisha magumu kwa kweli muwe mnakubali. Na sielewagi maana ya huo uchumi wa namba mnaotamba nao. Loosers!
I'm giving you statistics na unarudiarudia video zenye mmepost humu tangu 2011.solve your 78% food shortage first before worrying about your big brother.Did you watch the Video?
Wakenya mna maisha magumu Jamani, You need Jesus !
78% is almost 4/5. Turkana is better of than Tanzania. Remember Turkana is a desert.Pale Turkana ni 2/3 ila Tanzania(yote) ni 78% which ni sawa na 2/3 so in short Tanzania na Turkana wanapumuliana shingoni
View attachment 931067View attachment 931067
Badilisha hicho kichwa uandike njaa turkana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] utaomba sana kenya iitwe turkana
Save hao watoto kwanza ndio uiongelee turkana..na ujue hyo ni ya tz nzimaHow comes 78% starving population feed you??
Tanzania Feeds Kenya, Remember?? Acha kujiconsole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kenya siku hzi inaitwa turkanaUnamaanisha Turkana ni Somalia au?