Tofautisha food shotage na utapiamlo. Food shortage inaweza kutokea anywhere kwa kipindi flani. Tanzania kuwa na shirtage ya chakula kwa kipindi hicho ni jambo la kawaida na nadhani sasa hivi hiyo % imeshuka sana kulingana na factors nyingi kama seasons, nk. Ila utapiamlo ni lishe duni kwa watoto inayotokana na ukisekanaji wa chakula cha kutosha kwa muda mrefu (ndio maisha ya eneo husika)
Wakenya mna maisha magumu kwa kweli muwe mnakubali. Na sielewagi maana ya huo uchumi wa namba mnaotamba nao. Loosers!