Njaa Kenya, Maelfu ya Wakenya wajitokeza kupokea chakula cha msaada

Njaa Kenya, Maelfu ya Wakenya wajitokeza kupokea chakula cha msaada

Majirani, poleni sana. Apparently English language proficiency is not working out for you guys.

Ikitokea Tanzania serikali yenu haina uwezo wa ku supply chakula kwa watu wake kwa vile ata kutoa msada in Africa wa kifedha or anything mko almost zero, nyie na wanyama pori mko in the same whatsapp group, shukuru Maulana kwa vile mnaishi chini ya huruma zake, ardhi inawalisha kirahisi kama wanyama pori, mngekua na bidii ingeonekana kwa uchumi wenu na hamngetajwa kati ya nchi tano Africa zenye watu wengi walio fukara wa kutupwa, mnaongoza kwa utapia mlo (chakula cha kifukara hakuna balanced diet) na mko juu kwa multi-dimensional poverty..,
What GoK is doing is commendable, hiyo ni kazi ya serikali incase of a crisis, same way Marekani wakati wa Covid vile raiya walipoteza kazi kwa mpigo, serikali yao ili supply food na $1000 kwa kila raiya aliye poteza kazi coz of ability wa kiuchumi, Kenya is doing good not there yet but hapa ni plus, wewe unajaribu kupindua lakini wapi 😂 😂 😂 😂 😂 ukweli unabakia palepale Tanzania kufanya wkat Kenya is doing kwa raiya wake haiwezekani, mko wengi, taifa kubwa, na pato ni kidogo mno, yaani ni ufukara wa kutokana na ujinga na uzembe, yaani laana, jiangalie, mko hovyo!!
 
Ikitokea Tanzania serikali yenu haina uwezo wa ku supply chakula kwa watu wake kwa vile ata kutoa msada in Africa wa kifedha or anything mko almost zero, nyie na wanyama pori mko in the same whatsapp group, shukuru Maulana kwa vile mnaishi chini ya huruma zake, ardhi inawalisha kirahisi kama wanyama pori, mngekua na bidii ingeonekana kwa uchumi wenu na hamngetajwa kati ya nchi tano Africa zenye watu wengi walio fukara wa kutupwa, mnaongoza kwa utapia mlo (chakula cha kifukara hakuna balanced diet) na mko juu kwa multi-dimensional poverty..,
What GoK is doing is commendable, hiyo ni kazi ya serikali incase of a crisis, same way Marekani wakati wa Covid vile raiya walipoteza kazi kwa mpigo, serikali yao ili supply food na $1000 kwa kila raiya aliye poteza kazi coz of ability wa kiuchumi, Kenya is doing good not there yet but hapa ni plus, wewe unajaribu kupindua lakini wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli unabakia palepale Tanzania kufanya wkat Kenya is doing kwa raiya wake haiwezekani, mko wengi, taifa kubwa, na pato ni kidogo mno, yaani ni ufukara wa kutokana na ujinga na uzembe, yaani laana, jiangalie, mko hovyo!!

First of all, Sio mambo ya Maulana mzee, ni juhudi za wakulima wetu ambao ni very hard working, they work day and night to ensure they produce surplus to feed the lazy kunyans. Be grateful. Remember Huo ukame mnasingizia Huku Tz was extreme, we didn’t harvest kabisa this year..

Pili, that’s not crisis. Crisis for 50 years ? Tangu mmepata uhuru ni shida za njaa is that a crisi? the answer is No, that’s typical manifestation of poor jubilee governance and laziness of Kunyans,

When you fly over Kenya you see massive lands, mapori yenye rutuba yanayofaa kwa Kilimo just unulitized , nimesafiri sana kwa anga la kunya.. you need only 1% of that virgin land to solve your hunger problems..
Sasa unaongelea malnutrition do you see those folks queuing for food donations ? Are they well nourished? [emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu just kuweka rekodi Sawa, ni kuwa hata hicho chakula mnagawiwa sio gok is giving you, but donors, wasamaria wengine toka huko duniani…

Halafu be reminded , despite the drought iliyotupiga mwaka huu Tz, as we speak hundreds of trucks are on long queues at the boarder points of Silali, Horohoro and Namanga waiting to be cleared to offer you guys with farm supplies and produces so you don’t die of starvation.
This means we are moving away from rain dependence, ukija mbeya Huku mbalali utaona namna watu wanamwagilia Mpunga maelfu ya maekari wanavuna thrice a year, hii ndio rice mnakula huko kEnia.
Where I come from (Iringa) we do agriculture for living, yaani that’s our life. Kuna wakati I remember 1998-99 I was a little boy tulipigwa janga la njaa it was terrible.. nowadays we learned lessons and we effectively and sustainably utilize rains, rivers and underground water to feed the Nation and lazy people from kenia
 
Njaa haitokei popote, njaa inatokea sehemu za wazembe, wavivu na wasiojua wanafanya nini,
Mfano wa Sehemu hizo ni kenya. Na kama ikitokea Tanzania basi ni wazi tutakuwa kwenye kundi la wavivu, wazembe na wapumbavu. Tutastahili kufa.
Umekurupuka na umeropoka. Ustahili kufa peke yako. Wewe umekariri tu sababu ya njaa ni uvivu. Hata hijui kilichotokea Kenya unajiropokea tu!! Kenya hasa sehemu za Kaskazini hapajanyeha mvua kwa miaka sasa, unafikiri hao unaowaita wavivu wangetumia muujiza gani kuotesha mazao ili wavune chakula?

Sometimes tumia akili kuliko mihemko yako kuhukumu kishenzi!!!
 
Nyumbu nyingine hii , hii post ya 2017. Hakuna hata sentensi moja nimeandika uongo hapo, mimi sitakufa kwa njaa [emoji3][emoji3][emoji3],
IMG_8525.jpg
 
Umekurupuka na umeropoka. Ustahili kufa peke yako. Wewe umekariri tu sababu ya njaa ni uvivu. Hata hijui kilichotokea Kenya unajiropokea tu!! Kenya hasa sehemu za Kaskazini hapajanyeha mvua kwa miaka sasa, unafikiri hao unaowaita wavivu wangetumia muujiza gani kuotesha mazao ili wavune chakula?

Sometimes tumia akili kuliko mihemko yako kuhukumu kishenzi!!!
Wacha kuropoka, tatizo la njaa Kenya lipo zaidi ya miaka 50, kwanini wasijenge miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom