Njaa mbaya, nimeangalia salio leo si chini ya mara 25, hadi nahisi nitatumiwa SMS ya onyo kutoka benki

Njaa mbaya, nimeangalia salio leo si chini ya mara 25, hadi nahisi nitatumiwa SMS ya onyo kutoka benki

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Wakuu ngoja twende kwenye mada,

Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi.

Sasa kuanzia jana kuna fedha niliitazamia kuangia kwenye account yangu ya CRDB, jana ikapita patulo yaani kappa, leo kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa na mbili jioni hii nimecheki salio si chini ya mara 25 bilabila. Ila mzigo leo lazima uingie.

Nikimaliza kuandika hapa nacheki tena maana si kwa kufulia huku.

CRDB chondechonde msinipige ban
 
Wakuu ngoja twende kwenye mada. Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi. Sasa kuanzia jana kuna fedha niliitazamia kuangia kwenye account yangu ya CRDB, jana ikapita patulo yaani kappa, leo kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa na mbili jioni hii nimecheki salio si chini ya mara 25 bilabila. Ila mzigo leo lazima uingie.
Nikimaliza kuandika hapa nacheki tena maana si kwa kufulia huku.
CRDB chondechonde msinipige ban
Saa 2 mbona haijafika

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Back
Top Bottom