Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hamna salio ndugu, kukiwa na salio wananikata kama hamna hawakati nacheki free
Siku ukiweka mpunga tu wanapita naoHamna salio ndugu, kukiwa na salio wananikata kama hamna hawakati nacheki free
Siamini!! Niaminishe..?
kwa jinsi ulivyoandika lazima utahurumiwa mkuuHe he! Nakupenda kweli toka kwenye uvungu wa moyo wangu nataka nikuwowe unizalie watoto tuwalee tuishi nao kwa upendo na amani mpenzi..!
Wasemaje juu ya hili..?
Nafikiri umeona nilivyohurumiwa..kwa jinsi ulivyoandika lazima utahurumiwa mkuu
hahahaNafikiri umeona nilivyohurumiwa..
Saa 2 mbona haijafikaWakuu ngoja twende kwenye mada. Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi. Sasa kuanzia jana kuna fedha niliitazamia kuangia kwenye account yangu ya CRDB, jana ikapita patulo yaani kappa, leo kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa na mbili jioni hii nimecheki salio si chini ya mara 25 bilabila. Ila mzigo leo lazima uingie.
Nikimaliza kuandika hapa nacheki tena maana si kwa kufulia huku.
CRDB chondechonde msinipige ban
Kama huamini hilo ni tatizo lako sio langu[emoji16][emoji16]Siamini!! Niaminishe..?
Sawa dada wa watu mbishi kwelikweli..😜
Hamna salio ndugu, kukiwa na salio wananikata kama hamna hawakati nacheki free
Ahahaha. Kwahiyo watanilima juu kwa juu eh?Nani kakudanganya, unacheki free?
Brother no free lunch in africa!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwanangu nashangaa wamekuwa wagumu sana. Sielewi kwaniniVipi CRDB bado hawajathibitisha mzigo? Ukiupata mzigo nifanyie kama laki na nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu no free lunch hata huko mbele mbinguni kwenyewe bure hayupo, lazima usifu na kuabudu ndo ule.Nani kakudanganya, unacheki free?
Brother no free lunch in africa!!
Sent from my iPhone using JamiiForums