peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mbunge ana pesa,kagawa mpunga kwa kikundi kinachojiita UVCCM ,ili wampigie debe 2025.Sijaelewa...
Sometimes bora eneo lichague madiwani wenye hela. Hawa si warahisi kuwayumbisha. Kuliko wale wenye hela. Ukiwa na hela hata kumzidi mbunge unahamisha upepo, uvccm si bendera fuata upepoMbunge ana pesa,kagawa mpunga kwa kikundi kinachojiita UVCCM ,ili wampigie debe 2025.
Ilamadiwani wote Jimbo nzima ni walala hoi hawana mpunga,wao hawatapigiwa debe watasubiri taratibu za kiserikali.
Njaa ni mbaya sana mkuu
Kama haya hajafanya anatengeza resistance against himJimbo la Hai, ambalo ni Jimbo la kimkakati kwa CCM, lina changamoto kubwa sana za kijamii na kimaisha.
Miongoni mwa changamoto zilizopo ni miradi isiyotekelezeka na ahadi ambazo hazitimizwi na mbunge wa Jimbo hilo.
Kwa mfano, ujenzi wa masoko mbalimbali ni ahadi tupu tu.
Kuhusu ujenzi na ukarabati wa jengo la ofisi ya CCM wilaya, wanaccm wamemsukuma mbunge kwa miaka mitano lakini bado hakuangalia jambo hilo.
Zaidi ya hayo, wanaccm wamechangia fedha lakini vifaa vya ujenzi havijulikani vilikwenda wapi.
Leo mbunge anatutaka tumpige tena kura, huku akishindwa kuunda chama na kujenga ofisi ya chama wilaya.
Hakuna vikundi vya vijana, hakuna ajira, hakuna miradi ya vijana, bado anawakataa madiwani na kusema yeye atachaguliwa tena.
Hata mimi sijaelewa, uandishi wa kinyumbu nyumbuSijaelewa...
Elimu,elimu elimuHata mimi sijaelewa, uandishi wa kinyumbu nyumbu
Angalia clip ndiyo utawlewaSijaelewa...
Sijaelewa... Maana hiyo ni tabia ya kila siku ya UVCCM. Sasa ni kwa nini iwe habari!!??Angalia clip ndiyo utawlewa
Hapo sasa na mm nimeelewa sababu yako ya kutoelewaSijaelewa... Maana hiyo ni tabia ya kila siku ya UVCCM. Sasa ni kwa nini iwe habari!!??
Sponsor...πππ€Uyo mwamba mwenye kofia mbele sio kijana.