Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli.
Chadema wana hali mbaya sana kifedha.
Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele hapa nchini.
Lakini wameunga mkono na wanasifia bila aibu.
Mbowe amefyata mkia kama mbwa koko na sasa tutarajie kuunga juhudi.