Njaa ya Mabinti Bwana

Mangi Moshi

Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
22
Reaction score
11
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.
 
watu wa aina hiyo wana uelewa mdogo maana kila ufanyacho lazima uamini kuna kesho
 
The more you have C's in your daily life, the more you attract beautiful girls.
 
Huyo limbukeni!!
 
Sio njaa tu ndugu yangu pia inakuwa associated na tamaa na kukugeuza wewe kuwa kama ATM yake, kuna jamaa yangu alishakutana na dada wa namna hii kila wakitoka dada anataka bavaria, chips kuku na akila hamalizi chakula anakula kidogo alafu anadai kuwa ameshiba, guess what baada ya miezi mitatu mdada akaanza kumlazimisha mshikaji kuwa anataka amvishe pete ya uchumba, lakini na hii yote inaweza ikawa inatokana na sisi wakaka namna tunavyokuwa presented kwa hawa wadada maana yeye atakuwa anafanya kitu kutokana na kile anachohisi kipo ndani yako


 
Anza kukataa kutumika kwanzia mwanzo....mtu anataka chips kuku sijui na vinywaji gani kila siku wakati kabla yako alikua anapata mara moja moja kwaa bahati??!
 
Nafikiri wanaangalia na mtu mwenyewe,mimi sitaki mapenzi ya pesa na wala sibembeleza,huwa natafuta yule ambaye tunaendana naye!
 
Niliwahi kuwaachia bill mezani maana nilimuita akaja na marafiki wawili mmoja demu na mwanaume mmoja mkongo,
demu aliagiza miller,mkongo heineken na yule demu niliekua namfukuzia smirnof nililipa wakati nacheza pool
mtu wa jikoni akanifata kutaka hela ya kuku choma nikamwambia aliyeagiza ndie mlipaji
 

Hahhahahah....you made my day....🙂!
 
Mimi ninapokuwa na mahusiano (ya pembeni maana tayari nina vuvu.zela ndani) na msichana huwa najisikia kama anipenda asipo nipiga mizinga!!!
 
Mm kuagiza sio ishu,ila anakuja na mwenzake wanankamua halafu mm nakamua mmoja,na yule mwingine amekula vya burebure huwa natamanigi nianze kulimana na huyo mwenzake ,hii stlye kuja wawili sijui imetoka wapi jamani ?
 
Ila mkuu nawewe mgumu,chips kuku ina dili gani mupe tu n'a savannah zake kadhaa ukale mzigo.ila akileta majeshinoma.kuna kipindi nampakua mnenguaji fulani wa ngwasuma aliniita mazoezini kwao chez ntemba,basi ile kufika nikatolewa introduction ikawa papaa,papaa jamaa Walizinywa heinken n'a vyuku mpaka bar ikaishiwa bila idhini yangu.siku hiyo nilishindwa kuwakmbia maana mlango uko mbele ya counter.ilibidi niache cm nikahemee nije kuclear bill
mpaka leo sina hamu na wacongo mariyoo na hawana huruma
 
Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,

1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 2
2.Nenda nae kama kawaida
3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana
4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu
5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm
6...............................

Ha ha haaaaa dont try that at home pls.
 
 
Mimi ninapokuwa na mahusiano (ya pembeni maana tayari nina vuvu.zela ndani) na msichana huwa najisikia kama anipenda asipo nipiga mizinga!!!
Baba Enock, heshima yako nimeishusha, yaani mkeo unamuita vuvuzela!!!!!!!!! khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! nilikuwa nasikiaga watu wanasema mitaani sasa hii ni live bila chenga, hebu futa jina hilo harakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Na kumbe una nyumba ndogo eeeeeee, jamani why!!!!!!!!!!!!!
 
[,hii stlye kuja wawili sijui imetoka wapi jamani ?[/QUOTE]

Hii baadhi wanaiita SACCOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…