PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
jamani rais jakaya anasema mkienda vyuo muwaze kujiajiri sasa kama wewe ulikalia nunu sabufa nguo na kunywa bia na kuhongea pesa ya bodi kwa wale waliosoma shahada basi hii ndiyo final kwa wale wa diploma na cheti poleni jamani ndiyo nchi yetu hii tuvumilie

Wahitimu shahada za elimu kwa upande wa sanaa, sayansi na uongozi wazidi kukatwishwa tamaa na huku wakiendelea na hali ngumu(njaa kali) baada ya wazira kuendelea kupga kimya juu ya mpango wa ajira mpya kwa walimu wapya.
Hili limekua gumzo lililojaa unyonge hususani kwa wale fresh graduate mara walipoona trh taja (15januar) kupita zzzz bila tamko wala teteza za wizara.
Pendekezo: MOEVT iweke wazi ni lini au kunampango upi juu ya hilo ili vijana wahamishe mawazo na kujipanga upya kwa mambo mengine.
AU VIPI WAPENDWA.