Njaa yazidi kutawala vijana wanaotegemea MOEVT.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Wahitimu shahada za elimu kwa upande wa sanaa, sayansi na uongozi wazidi kukatwishwa tamaa na huku wakiendelea na hali ngumu(njaa kali) baada ya wazira kuendelea kupga kimya juu ya mpango wa ajira mpya kwa walimu wapya.
Hili limekua gumzo lililojaa unyonge hususani kwa wale fresh graduate mara walipoona trh taja (15januar) kupita zzzz bila tamko wala teteza za wizara.
Pendekezo: MOEVT iweke wazi ni lini au kunampango upi juu ya hilo ili vijana wahamishe mawazo na kujipanga upya kwa mambo mengine.
AU VIPI WAPENDWA.
 
Hilo ndio jambo la msingi, maana huu ni u@@nge. Mtu yupo nyumbani tangu mwezi wa 5 unategemea hata akiajiriwa ataenda kufundisha nini darasani?
 
jamani rais jakaya anasema mkienda vyuo muwaze kujiajiri sasa kama wewe ulikalia nunu sabufa nguo na kunywa bia na kuhongea pesa ya bodi kwa wale waliosoma shahada basi hii ndiyo final kwa wale wa diploma na cheti poleni jamani ndiyo nchi yetu hii tuvumilie
 
Umekurupuka ndg, kajipange harafu urudi tena!
 
Tanzania ishakuwa ngumu sasa kwa mwendo huu! Yaani siasa mpaka ktk maisha ya watu! Haya bana kwani mwenye shibe kamwe hamkumbuki mwenye njaa!
 
jamani rais jakaya anasema mkienda vyuo muwaze kujiajiri sasa kama wewe ulikalia nunu sabufa nguo na kunywa bia na kuhongea pesa ya bodi kwa wale waliosoma shahada basi hii ndiyo final kwa wale wa diploma na cheti poleni jamani ndiyo nchi yetu hii tuvumilie

Kamwambia nani?, aende za na uongoz usio na aibu.
 
Kumbuka Dogo mwenye wajibu wa kuajiri ni nani?
Wizara ya ajira au wizara ya elimu kasome kazi za kila wizara hapo then ndio utupie lawama utapewa kazi then mshahara usubiri miezi 9 Ooh

Back
Top Bottom