LGE2024 Njama: Baada ya kuengua Wagombea wengi, Sasa imeamriwa Mawakala wa Chadema wasiapishwe ili wasiwemo kwenye vituo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kuna njama iliyoidhinishwa ya kutowaapisha Mawakala wa Chadema Nchi nzima.

Mpango huu wa kishamba una lengo la kuhakikisha vituo vyote vya kupigia kura visiwe na Mawakala wa Chadema ili Wasimamizi waamue watakavyo, Hii ni baada ya tathmini ya Kampeni kuonyesha kwamba CCM inapumulia mashine.

Bado tuko kila mahali tukifuatilia kila hujuma inayofanyika na tutaweka hapahapa jf kila kitu.

Usiondoke
 
Nina swali moja? Upinzani wanapambaniaje jamii isiyo jielewa? Despite ya hila zote wanazofanyiwa
 
Mimi ningekua mgombea wa hicho chama wala nisinge hitaji kunyenyekea kiasi hicho kwenye picha na kushinda ningeshinda tu πŸ€”
 
Mimi ningekua mgombea wa hicho chama wala nisinge hitaji kunyenyekea kiasi hicho kwenye picha na kushinda ningeshinda tu πŸ€”
Ndio maana Dunia nzima inashangaa, Polisi wote ni wa kwao, Watekaji wote ni wa kwao, kwanini kujishusha namna hii, hadi ukale chapati mitaani!
 
Ndio maana Dunia nzima inashangaa, Polisi wote ni wa kwao, Watekaji wote ni wa kwao, kwanini kujishusha namna hii, hadi ukale chapati mitaani!
Hizo ni drama tu ili ionekane kuna nguvu kubwa ilitumikaπŸ˜…
 
Wanafanya hivi sababu wanajua akili zenu chadema zitapeleka attention kwenye huu ujinga ili wavuruge uchaguzi wanavyotaka..what s new with these dramas...?
 
Hali ya ccm pote ambapo Chadema wameweka mgombea ni mbaya mno
...haya unayosema ni km maneno ya juha tu, wewe umekataliwa mawakala wako kufanya viapo, hiyo hali mbaya ya ccm wewe inakusaidia nini chama chako kushinda uchaguzi?
 
...haya unayosema ni km maneno ya juha tu, wewe umekataliwa mawakala wako kufanya viapo, hiyo hali mbaya ya ccm wewe inakusaidia nini chama chako kushinda uchaguzi?
Hongera sana
 
Hongera sana
kwa mtu anayefahamu sayansi ya maneno, mengi ya unayoandika hapa tafsiri yake chama chako either kime-compromise au chama kimebaki kwenye makaratasi tu kujustify kupata hela..hakina impact tena.
 
kwa mtu anayefahamu sayansi ya maneno, mengi ya unayoandika hapa tafsiri yake chama chako either kime-compromise au chama kimebaki kwenye makaratasi tu kujustify kupata hela..hakina impact tena.
Hongera tena
 
Ni kituko cha mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…