RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Wala usijali kabisa!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kuna njama iliyoidhinishwa ya kutowaapisha Mawakala wa Chadema Nchi nzima.
Mpango huu wa kishamba una lengo la kuhakikisha vituo vyote vya kupigia kura visiwe na Mawakala wa Chadema ili Wasimamizi waamue watakavyo, Hii ni baada ya tathmini ya Kampeni kuonyesha kwamba CCM inapumulia mashine.
View attachment 3162119View attachment 3162120View attachment 3162123
Bado tuko kila mahali tukifuatilia kila hujuma inayofanyika na tutaweka hapahapa jf kila kitu.
Usiondoke
Mimi ni mwanaccm na kadi kabisa na najua mbinu hii inatumika kumpumbaza mjinga mmoja ili aliwe kichwa!!
Hakuna kitu kibaya duniani kama kukubali Kila ushauri unaopewa na mtu bila kuhoji!!
Hivi samiah anajionaje salama kama yeye ameshinda Kila kitu bila kufeli jambo hasta moja!!?
Hajui washindi wote wapo mbinguni ama peponi!!?
"Original plan in and out,code PJLK"
Nadhani L tayari nasubiri PJK zitimie!!