Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.

UPDATES:

Zanzibar 2020 - Maalim Seif ateuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuwa mgombea Urais Zanzibar

3D2831AD-4442-40EA-B3EE-4C009079FBDD.jpeg

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .

======

2514938_1599768004794.png
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .

ACT hawakukumbuka kumwekea pingamizi Mwinyi?

Ile ya kimya kimya ya Membe haisaidii. Hawa ni wa kukutana nao head on!

Hawa the yaonesha wameamua kucheza na moto.

Tusiwaache hawa jamaa kututumbukiza kusiko kwema.

Tuwakemee hawa kwa umoja wetu na kwa nguvu zetu zote bila kujali vyama vyetu.

Ingependeza zaidi ma CCM wangekuwa mstari wa mbele kwenye hili kwa mustakabala wa amani na muungano wetu walioapa kuulinda kwa nguvu zote.
 
Chama cha demokrasia makini na lingine kimepinga uteuzi wa Maalim Seif. Fomu ya kiapo imeandikwa nje ya muda wa Tume. Source TBC
Sijui hii ndio sababu ya leo gari za jeshi zimetrend mtandaoni.
 
Hivi hakuna deadline ya mapingamizi ?

Unaweza kushangaa mtu ushashinda alafu pigamzi ndio linatoka....
 
Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!

Sababu ya kijinga kabisa. Kama ni hivyo typo error.

Kwani pana mitego imewekwa kunawa watu wenye ndimi kuteleza au typo error?

Mbona huku kwetu pana wagombea wanatumia kisukuma ka lugha rasmi kwenye majukwaa ya kampeni?
 
Back
Top Bottom