Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Tume na ccm yenu acheni ushamba na ulimbukeni wenu wa kihutu , wenye mamlaka ya kumkata mgombea ni wananchi peke yake sio tume Wala muweka pingamizi . Wananchi ndio wanaamua Nani wanataka Nani hawamtaki , tume kazi yake ni kusimamia uchaguzi tu sio kupitisha au kuengua wagombea.
IMG_20200910_181034_6.jpg
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .

======

Ulimbo soma hii fomu ya maalim SEIF Rais mtaraiwa wa ZANZIBARI labada akili yako itakukaa sawia
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .

======

Mbona fomu ni rahisi na imejazwa vizuri? Tatizo liko wapi? Tume inataka kuleta machafuko bure.
 
Tume na ccm yenu acheni ushamba na ulimbukeni wenu wa kihutu , wenye mamlaka ya kumkata mgombea ni wananchi peke yake sio tume Wala muweka pingamizi . Wananchi ndio wanaamua Nani wanataka Nani hawamtaki , tume kazi yake ni kusimamia uchaguzi tu sio kupitisha au kuengua wagombea.View attachment 1565994
CCM wanakanyaga katiba. Tuwakatae na kuwachukia.
 
Naiona forgery. Lakini hata kwenye original, Maalim na timu yake hawako makini. Transparency imeandikwa kimakosa (Trasparency)! Na ACT-Wazalendo imeandikwa ACT Wazalendo, bila ya dash katikati (-). Huyaoni hilo? Kwa mtu anayetafutwa kwa udi na uvumba kama Maalim, haya ni makosa ya kijinga.

Watanzania tujitayarishe kupigania uhuru wetu kwa damu. Tume na CCM ni kitu kimoja. Tume imefikia hatua ya kufoji fomu kwa ajili ya CCM. Je, itamtangaza Maalim hata akishinda? Hiyo forgery serikali haitosema chochote. Kule Bara nako Mkurugenzi anaonekana kwenye clip akisema lazima CCM ishinde.
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .

======

Kwa hiyo ni haki na halali kabisa upinzani kuwawekea pingamizi wagombea wa CCM lakini upinzani wakiwekewa pingamizi ni kukandamiza demokrasia na kuchezea uchaguzi?

Wakojani bana dah
 
Hata mimi nauliza hilo swali, wapi amekosea?
Tarehe ipo sawa 7-9-2020.
Pingamizi lilitakiwa liseme amekosea kuandika neno TRANSPARENCY, herufi N haipo kwenye uandishi wa Maalim.
Kwa maoni yangu, Sio haki kumnyima mtu haki ya kuchaguliwa kwa sababu nyepesi kama hizi.
 
Kwa fomu hii kakosea WAPI?
Kama Tume huwa wanapokea pingamizi lolote tu, basi tatizo ni hizi Tume za ki Jechajecha?
Naanza kuhisi kuwa hata kule kubweka bweka kwa Kamanda Siro, ilikuwa ni kujiandaa kwa ujinga kama huu.
Kama alivyokuwa akifanya Hitler.
Amekosea tarehe
 
Magufuli ana nguvu au wanajeshi ndio wana nguvu
Kwahiyo huyu Mabeyo Msukuma wa Masanzakona, aliye mwadilifu kwa mkuu wake ndo unategemea aje kuunga mkono huu ujinga wenu, wa kutaka kuiingiza nchi kwenye machafuko😳??
Aiseeh mtasubiri sana.Kimsingi mifumo iliyoundwa ikichagizwa na uwepo wa katiba yetu pendwa, Ni ngumu Sana hayo mnayoyawaza kutokea.
 
Back
Top Bottom