Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Maelekezo kutoka juu yamewafanya tume ya uchaguzi , wakuu wa wilaya , mikoa , mawaziri ,manaibu na watumishi wote kufanya kazi kama vichaa , CCM tafadhalini turudishieni nchi yetu kutoka mikononi mwa mhutu .
 
Hizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.

Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.
Wanayo pia dhana ya "fatal".......... " fatal error", "fatal mistake", " fatal omission " etc. Nina imani unazijua pia!
 
Hivi haya maccm ya awamu yaani yameishiwa kiasi hiki , hamkuyapitisha hata chuo Cha siasa kivukoni ? Hata elimu ya siasa sekondari hawakusoma ? Mbona ni ma ngumbalu ya kutupa mahutu haya , hata akili ya kawaida kuendesha siasa hawana aisee ndio maana yana shahada feki huu ndio uthibitisho kabisa .
IMG_20200910_181204_7.jpg
 
Wanayo pia dhana ya "fatal".......... " fatal error", "fatal mistake", " fatal omission " etc. Nina imani unazijua pia!
Ujinga tu. Kwanza jamani, wkenye katiba sifa za mtu kuwa mgombea zimeorodheshwa, kwani tume ipo juu ya katiba kuwaengua wagombea kisa hizi small technicalities. Dhana ya wasimamizi ni kusimamia wagombea wajaze fomu vizuri na kuwarekebisha, hivi ndivo ilivokuwa wakati wa Kikwete na Mkapa. Sasa hizi ni kama mafisi wanavizia watu wakosee ili wawakate. Taifa gani hili tunatengeneza. Afu kinachoshangaza, wagombea wa CCM hawakoseagi kabisa japo tunajua wengi wao wameishia darasa la saba. Ebu tuwe serious kidogo. Mi naamini hata CCM wenyewe hawafurahii huu ujinga
 
Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.

Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea.

Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais.

Kama makosa ya jinai etc

Hata deni la serena ni izushi mkubwa.
Halafu ati mtu ni Jaji wa mahakama kuu.. Utumbo mtupu
 
Ujinga tu. Kwanza jamani, wkenye katiba sifa za mtu kuwa mgombea zimeorodheshwa, kwani tume ipo juu ya katiba kuwaengua wagombea kisa hizi small technicalities. Dhana ya wasimamizi ni kusimamia wagombea wajaze fomu vizuri na kuwarekebisha, hivi ndivo ilivokuwa wakati wa Kikwete na Mkapa. Sasa hizi ni kama mafisi wanavizia watu wakosee ili wawakate. Taifa gani hili tunatengeneza. Afu kinachoshangaza, wagombea wa CCM hawakoseagi kabisa japo tunajua wengi wao wameishia darasa la saba. Ebu tuwe serious kidogo. Mi naamini hata CCM wenyewe hawafurahii huu ujinga
Amekosea wapi mkuu?
 
Wanatukatisha tamaa wapenda mabadiliko. Yaani chama kizima - Maalim, Zitto, Membe... na wanasheria wao, wameshindwa kabisa kujaza fomu 1 kwa usahihi! Hata transparency wanaandika trasparency? Kama wamekosea hili, kwa nini wasikosee tarehe. Pamoja na kuona yote yaliyotokea kwa wagombea udiwani na ubunge? Kama ni kweli amefanya hayo makosa, Wazanzibar hawatamsamehe kabisa. Ndio maana wengine wanasema ni kuuza mechi.
Nakubaliana na wewe. Ilitakiwa fomu itolewe copy halafu mtu makini aijaze hiyo copy yote, then Maalim afuatilie ile copy ili kujaza hiyo original yake step by step.
 
Kwani hii ni fomu ama kiapo?

Isijekua kuna document mbili tofauti, maana hii ni kama kithibitisho tu kuwa taarifa alizojaza kwenye fomu ni sahihi na ni kweli anaomba ridhaa.
 
CCM hawana Chao Zanzibar. Maalim keshawabutua mchana kweupee
 
Kweli mtu anakosea hata kuandika tarehe tu
Je Mambo makubwa ya NCH ataweza
Kwa fomu hii kakosea WAPI?
Kama Tume huwa wanapokea pingamizi lolote tu, basi tatizo ni hizi Tume za ki Jechajecha?
Naanza kuhisi kuwa hata kule kubweka bweka kwa Kamanda Siro, ilikuwa ni kujiandaa kwa ujinga kama huu.
Kama alivyokuwa akifanya Hitler.
 
Back
Top Bottom