Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Sasa kulingana na hii fomu, hivi ilikuwa lazima ijazwe ile siku ya kurudisha hiyo fomu kwa tume au baada tu ya kuichukua ndani ya hizo siku walizopewa mtu anaweza kuijaza?Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
======
View attachment 1565642
Pia naona kama jaji naye kaweka hiyo tarehe, je yeye hakuona hilo au halimuhusu yeye?