Waliomuwekea pingamizi maalim Seif kuwa amekosea kujaza tarehe ya fomu kwa kujaza tarehe 7/7/2020 ni pingamizi la hoja ya uwongo.
Maalim Seif jinsi anavyoandika Saba anaikata katikati, kwa hiyo hoja ya kuwa amekosea kujaza tarehe ni hoja ya kihuni na ya kizushi!
ZEC iache michezo yake ya kutaka kuwanyima wazanzibar haki ya kuchagua wamtakaye
Hoja yenyewe ya sababu za pingamizi hii hapa kwenye video:
View attachment 1565881
Na fomu yenyewe ya Maalim Seif hii hapa chini:
View attachment 1565884
Sasa swali la msingi ni
Hiyo Tarehe wanayosema kajaza Tarehe 7/7/2020 iko wapi kwenye hiyo fomu?