Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
CCM inalazimisha vita kwa udi na uvumbaWajaribu waone ndio utakuwa mwisho wa Zanzibar
Hii ni mara ya sita anagombea si rahisi kukosea ni mambo ya Jecha hayoIna maana naye alikosea kujaza fomu au kunani jamani?
Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!Ina maana naye alikosea kujaza fomu au kunani jamani?
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
CCM ni pepo mchafu, inabidi akemewe, hamna namnaCCM inalazimisha vita kwa udi na uvumba
Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Vyama vyote vilivyorudisha fomu vimemwekea pingamiziCCM inalazimisha vita kwa udi na uvumba
Tena mara hii ni rahisi kwa sababu uzee unamsumbua!Hii ni mara ya sita anagombea si rahisi kukosea ni mambo ya Jecha hayo
Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Mkuu kukemea tu haitoshi Ni viboko walambwe hayo mapepo!CCM ni pepo mchafu, inabidi akemewe, hamna namna