Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Mkuu kutumia pen tense rangi tofauti si kosa. Nimeiangalia fomu yote sioni kosa lolote lile.
Hapo ni sawa kusema pambano la ngumi haliwezi kuisha kwa sababu tu mmoja kapigwa ngumi ya KO kazimia huko, hivo kwanini asitibiwe ili arudi ulingoni aendelee na pambano? Kila mchezo unasheria zake msitegee huruma ya mtu kwenye sheria. Maarimu akipigwa KO mtulie tuu ndo mchezo wenyewe 😄😄Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.
Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea..
Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais..
Kama makosa ya jinai etc
Hata deni la serena ni izushi mkubwa..
Ningekuwa mimi Maalim, simwachii mtu kufanya kazi hii. Najaza mwenyewe, herufi kwa herufi. Namwachia tu Jaji sehemu yake. TraNsparency imeandikwa Trasparency!
Ok lakini kosa lisemwalo linahusu tarehe badala ya 7/9 inadaiwa aliandika 7/7 lakini hakuna kitu kama hicho.
Mwambie anayekupumulia ashuke kwanza akili yako ipate utulivu.Chama Ni Cha Upinzani.....
Chama Kina Wanasheria Wengi...
Halafu Wanakosea Jambo La Tarehe?!!!
Nasubiri Utetezi Wao wa "kishawishi" otherwise Nitaendelea Kutowaamini Wengi Wa Wanasiasa Wa Upinzani....
[emoji23][emoji23][emoji23]Babu Seeeefuuu...
Ninashaka na elimu ya maalimu seif mbona kama chekechea au anayo degree ya Quran ataweza kusaini mikataba huyu,hapana akapumzike 77 ni babu kabisa.
Wajaribu waone ndio utakuwa mwisho wa Zanzibar
CCM inalazimisha vita kwa udi na uvumba
Hivi ninyi mnadhani Tanzania ni CHADEMA inayoendeshwa kwa mfano wa SACCOS na mjasirimali wa Kiasa, Mbowe, anayetafuna fedha ya chama mnamwogopa kumwuliza!Wanapima upepo!
Mkuu Mbona Matusi Ya Ad HOMINEM Yasiyoendana na nilichocomment...Mwambie anayekupumulia ashuke kwanza akili yako ipate utulivu.
Ukiangalia unaweza kusema ni kitu kidogo ila kisheria ni kosa kubwa sana. Wakikomaa wanaweza kumuengua Maalim Seif. Ukiangalia hata katiba ya ACT imeandikwa ACT-Wazalendo na siyo ACT Wazalendo. Angalia hii screenshot hapa nchini.Kuna wagombea ubunge wa ACT waliandika jina la chama kama Maalim hapo "ACT Wazalendo". Wameenguliwa kwa kutokuweka "-" yaani "ACT-Wazalendo". Naona Maalim naye hakuweka hako ka-.
Kabla hujasema ni uonevu pitia kwanza katiba ya ACT halafu jiulize kama hawa ACT wana wanasheria wazoefu kweli hadi mgombea urais anafanya kosa la kizembe namna hiyo katika kujaza fomu.Aisee huo ni uonevu na dhambi ya hivyo sijui inasamehekaje
Ukiangalia unaweza kusema ni kitu kidogo ila kisheria ni kosa kubwa sana. Wakikomaa wanaweza kumuengua Maalim Seif. Ukiangalia hata katiba ya ACT imeandikwa ACT-Wazalendo na siyo ACT Wazalendo. Angalia hii screenshot hapa nchini.
View attachment 1565674
kama kweli una nguvu ya mungu iko ndani yakao tazama namber tatu then tena iangalie kwa makini lipo jibu hutapata , asante mungu kwa uwezo huu unipao , sikutafuti invyotakiwa ipo siku sasa ni lazima nikutafute, sasa basi , nakuhitajia sanaHii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
======
View attachment 1565642
Apologies [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu Mbona Matusi Ya Ad HOMINEM Yasiyoendana na nilichocomment...
Ok siwezi kukuzuia..
Tume wanachoitakia nchi hii watakipata tu pasipo shaka!!Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.
Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea..
Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais..
Kama makosa ya jinai etc
Hata deni la serena ni izushi mkubwa..
Magufuli ana nguvu au wanajeshi ndio wana nguvuHivi ninyi mnadhani Tanzania ni CHADEMA inayoendeshwa kwa mfano wa SACCOS na mjasirimali wa Kiasa, Mbowe, anayetafuna fedha ya chama mnamwogopa kumwuliza!
Siyo ninyi, wafuasi wa mitandaoni, wala viongozi wa CHADEMA wenye ubavu wa kufanya hicho mnachoota au kuingiza WaTz barabarani, kama anavyohamasisha Lissu, Mgombea wenu wa Urais
Kwa taarifa yenu, baada ya uchaguzi huu, mbivu na mbichi zitajulikana kuhusu matukio ya utekaji na mashambulizi mnayodai Serikali ina mkono wake. Msibadili ID zenu.
Kama Lowassa alishindwa na Magufuli akiwa hana nguvu za kisiasa, akilazimika kupita mitaani kuomba wadhamini, nguvu yake kisiasa sasa ni kubwa, marudufu, kuliko Rais na mwanasiasa yeyote Tanzania.
Mkuu upo sahihi kabisa. Kisheria Maalim amedhaminiwa na chama kisichokuwepo. Transparency ya ACT-Wazalendo na Trasparency ya ACT Wazalendo zinaleta maana mbili tofauti kabisa. Hivyo ni vyama viwili tofauti kabisa. Nami nashangaa kuona chama kinachopigania kushika dola kinakosa wanasheria wa kuwasaidia katika vitu vidogo kama hivyo. Pengine ndiyo maana wagombea karibu wote walienguliwa. Ndugu Zitto mnatia aibu kama chama kufanya makosa ya kijinga kama haya halafu mnakuja mnalialia kuwa mnafanyiwa hujuma. ACT Wazalendo hebu ajirini wanasheria wanaoijua kazi yao vinzuri ili kusudi siku nyingine msifanye makaosa ya kipuuzi kama haya.Naam mkuu. Wewe kama unajua kuwa unawindwa tayari lazima uwe makini. Zaidi ya hilo, fomu yumayoioana hapa ambayo inasemekana ni ya Maalim, imeandika Transparency kuwa ni Trasparency. Chama hiki hakina wanasheria? Wanasheria wameona hii ni sawa tu? Lakini Maalim alitakiwa ajifunze kutoka kwa wagombea wake wa ubunge na udiwani walioenguliwa kwa makosa kama haya.
Hana na hatoleta ila atakatika na vigelegele juu siku ipiteMkuu hizo technicalities unazozungumzia wewe hebu tuoneshe hapo kwenye hicho kielelezo.
Nadhani busara zitatumika hawata muengua, sidhani kama watakomalia sana Sheria hapo. ( Tusubiri huruma ya Tume)Mkuu upo sahihi kabisa. Kisheria Maalim amedhaminiwa na chama kisichokuwepo. Transparency ya ACT-Wazalendo na Trasparency ya ACT Wazalendo zinaleta maana mbili tofauti kabisa. Hivyo ni vyama viwili tofauti kabisa. Nami nashangaa kuona chama kinachopigania kushika dola kinakosa wanasheria wa kuwasaidia katika vitu vidogo kama hivyo. Pengine ndiyo maana wagombea karibu wote walienguliwa. Ndugu Zitto mnatia aibu kama chama kufanya makosa ya kijinga kama haya halafu mnakuja mnalialia kuwa mnafanyiwa hujuma. ACT Wazalendo hebu ajirini wanasheria wanaoijua kazi yao vinzuri ili kusudi siku nyingine msifanye makaosa ya kipuuzi kama haya.