Report police kwamba kuna dalli za kuhatarisha usalamaWanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza fomu ambayo inataka NAMBA YA NIDA pamoja na Taarifa zote za KUVERIFY Kitambulisho cha NIDA.
Binafsi machale yamenicheza. Ninaamini kutakuwa na konection na uchaguzi ujao. Hususan kutengeneza vitambulisho vya kupiga kura
POLISI ya Jumanne Murilo na Wambura?Report police kwamba kuna dalli za kuhatarisha usalama
Swali fikirishi sana hili mdau πππPOLISI ya Jumanne Murilo na Wambura?
Mkuu machale yamekucheza, ndo useme kwamba ni kitisho cha usalama?Wanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza fomu ambayo inataka NAMBA YA NIDA pamoja na Taarifa zote za KUVERIFY Kitambulisho cha NIDA.
Binafsi machale yamenicheza. Ninaamini kutakuwa na konection na uchaguzi ujao. Hususan kutengeneza vitambulisho vya kupiga kura
Inasikitisha..!POLISI ya Jumanne Murilo na Wambura?