ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Acha kumlinganisa Nyerere na vitu vya ajabu ajabuWao wanadai hata Nyerere alifanya hivyo, kuwahamisha watu na kuwapeleka vijijini kwenye operation vijiji vya ujamaa.
Sasa kwa sababu Nyerere alifanya, wao hiyo ni amri sio ombi.