Njama za kuondoa kipa wa Simba sc Aishi Manula zimefanikiwa kwa asilimia 70

Kila kitu njama njama, iko hivi sometimes lazima ukibali muda wako unapita. Kwenye mpira kuna vitu viwili vinamaliza wachezaji age na injury.
KAMA WANAJUA MUDA WAKE UMEKWISHA KWA NINI WALIMLAZIMISHA KUCHEZA KWENYE DABI YA KARIAKOO ??

WANGEMUACHA ASITAAFU NA HESHIMA YAKE KATIKA LIGI YA NDANI MANULA HAJAWAHI KUFUNGWA GOLI TANO.
 
Manula hana issue, si kipa wa maana hata kidogo. Huyu anafaa kuchezea Kibaigwa FC ama Manungu Rangers.
 
Kama kila kipa anakaa golini kwa nini hammuweki metacha pale golini au ni beki yule haiwezekani kila kipa acheze.
 
Ndo tuseme manula byebye
 
Naona Makolo wanaenda vizuri
Huyo manura alikuwa anasumbua tu
Mchezaji gani anavunjika ovyo hiyo ni miguu ya vioo au
 
Kwann watu hamtaki mabadiliko ? . Kila mchezaji anapaswa apewe nafasi acheni ubaguzi
Tatizo si ubaguzi, tatizo ni kuua vipaji vya wachezaji wetu wazawa na kuwaangushia gunia la misumari, mechi ya Simba na Yanga kwanini asingechezeshwa Lakred? Darby ya Kariakoo ni miongoni mwa mechi za kihistoria, hivyo mmemuacha Manula awe kituko cha kupokea goli 5 wakati mnajua hayupo fit.
 
HAWEZI KUKUJIBU HUYO NA HATOKUELEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…