Njama za kuondoa kipa wa Simba sc Aishi Manula zimefanikiwa kwa asilimia 70

Kila kitu njama njama, iko hivi sometimes lazima ukibali muda wako unapita. Kwenye mpira kuna vitu viwili vinamaliza wachezaji age na injury.
KAMA WANAJUA MUDA WAKE UMEKWISHA KWA NINI WALIMLAZIMISHA KUCHEZA KWENYE DABI YA KARIAKOO ??

WANGEMUACHA ASITAAFU NA HESHIMA YAKE KATIKA LIGI YA NDANI MANULA HAJAWAHI KUFUNGWA GOLI TANO.
 
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.

Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa na bwana Ally Salim kipindi hicho Ayub yupo bench akimshuhudia bwana mdogo anafanya maajabu.

Ngao Ya hisani bwana mdogo alionesha uwezo wa hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililomleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power Dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokuwa ana kiwango kikubwa/sawa na Ayub.

View attachment 2849771
Manula hana issue, si kipa wa maana hata kidogo. Huyu anafaa kuchezea Kibaigwa FC ama Manungu Rangers.
 
Kama kila kipa anakaa golini kwa nini hammuweki metacha pale golini au ni beki yule haiwezekani kila kipa acheze.
 
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.

Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa na bwana Ally Salim kipindi hicho Ayub yupo bench akimshuhudia bwana mdogo anafanya maajabu.

Ngao Ya hisani bwana mdogo alionesha uwezo wa hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililomleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power Dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokuwa ana kiwango kikubwa/sawa na Ayub.

View attachment 2849771
Ndo tuseme manula byebye
 
Naona Makolo wanaenda vizuri
Huyo manura alikuwa anasumbua tu
Mchezaji gani anavunjika ovyo hiyo ni miguu ya vioo au
 
Kwann watu hamtaki mabadiliko ? . Kila mchezaji anapaswa apewe nafasi acheni ubaguzi
Tatizo si ubaguzi, tatizo ni kuua vipaji vya wachezaji wetu wazawa na kuwaangushia gunia la misumari, mechi ya Simba na Yanga kwanini asingechezeshwa Lakred? Darby ya Kariakoo ni miongoni mwa mechi za kihistoria, hivyo mmemuacha Manula awe kituko cha kupokea goli 5 wakati mnajua hayupo fit.
 
HAWEZI KUKUJIBU HUYO NA HATOKUELEWA
 
Back
Top Bottom