Tetesi: Njama za kuwavua Uwakili waliofungua kesi kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari zavuja ni kama ile iliyomkuta Fatuma Karume

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.

Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.

Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .

Tutaendelea kufichua kila njama zinazopangwa na Mamluki dhidi ya Wazalendo .

Usiondoke JF
 
Haki, uhuru, na amani ya kweli hupatikana kwa vita, machozi, jasho, na damu. Jambo hili la DPW ni bomu la wakati, na likilipuka tu litaleta mwanzo mpya.
 
Woga tu. Mnaanza kuweweseka. Si muda mrefu mtaanza kujiteka.
 
Mbona wanahangaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…