Njanuary

Njanuary

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ndo kwanza bado tarehe 2 ila tumeanza kusikilizia maumivu ya huu mwezi unaoitwa NJAANUARY.

Kuna jamaa yangu anasema afadhali wale wasio na pesa siku zote washazoea ugumu wa life ila kama umezoea kushika shika vijipesa halafu hukujipanga ukatanua x mass na mwaka mpya basi week hii itakuwa ngumu sana kwako, ila kuanzia week ijayo mambo yatakaa sawa.

Hii ndo week ya kuuza vitu vyako vya ndani kwa bei chee na utashangaa unakosa mteja.
 
Back
Top Bottom