Nje na Uchungaji, Tony Kapola anafanya biashara gani ya kumpa utajiri?

Nje na Uchungaji, Tony Kapola anafanya biashara gani ya kumpa utajiri?

Duh..mleta mada unaweza kuwa na HOJA ila sio ungesubiri hata arobaini ya Marehemu Mzee wake Mzazi Kachero Kapola ipite?..Mzee amezikwa last week pale nyumba kwake Pugu
 
Kuna haja ya kuwepo kwa kodi kwenye Makanisa.
Hii ni biashara, tena zenye faida wakati wote.
 
Kiufupi huduma za kutegemea sadaka hazilipi kihivyo, nasimama na hoja ya ML (kama kiranga alivyosema). Manabii na mitume wanaotegemea sadaka watasumbua tu kwa muda mfupi ila mali zao za kawaida tu kama yule Upako au CarTortoise.

Ila hawa wa ML watasumbua mpaka mamlaka wawageuke au Chama kingine kichukue nchi.

Kiufupi wewe angalia "Gold Mafia" alafu wahusika wote pamoja na nchi iweke Tanzania.
 
kila mtu apambane na hali yake, tusipende sana kujua maisha ya mtu (binafsi) kiundani, HAYATUHU$U. P£$A ina H£$HIMA yake WAKUU.
sina chuki na mtu yeyote, nikiona mwanaume mwenzangu amefanikiwa KIUCHUMI kapiga hatua fulani kimaisha, nafurahi napata ARI na $HAUKU ya kupambana ili niwe hata zaidi yake.
 
Makanisa mengi yanaweza kutumika kwa money laundering kwa sababu hela zinaingia bila maelezo na zikishaingia humo zinakuwa hela halali zinaweza kutakatishwa.

Mchungaji anaweza kupozwa na chake cha juu afanye kazi ya kutakatisha pesa chafu.
Exactly. Kama yule wa Arusha anayegawa magari Kila siku. Inaingia Hela ya madawa pale inakuwa safi, inanunua gari unapewa kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom