Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Kanisa ni kivuli tu nyuma ya mengi....
Exactly. Kama yule wa Arusha anayegawa magari Kila siku. Inaingia Hela ya madawa pale inakuwa safi, inanunua gari unapewa kwisha kazi.Makanisa mengi yanaweza kutumika kwa money laundering kwa sababu hela zinaingia bila maelezo na zikishaingia humo zinakuwa hela halali zinaweza kutakatishwa.
Mchungaji anaweza kupozwa na chake cha juu afanye kazi ya kutakatisha pesa chafu.