Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Muhimu: usiweke porn

Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.

Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K.

A sports HD - 2,000, match za Tz, Caf, Epl, Uefa, n.k.

Alldebrid - 9,000 - kustream na kushusha torrents moja kwa moja
 
Me hapa silipii zaidi ya internet hapa vingine nibure tu hapa najua vingine watu hawana hpa
20240529_200539.jpg
 
Attachments

  • 20240529_200522.jpg
    20240529_200522.jpg
    2.4 MB · Views: 15
  • 20240529_200453.jpg
    20240529_200453.jpg
    2.4 MB · Views: 13
ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.

netflix - 10,000, series na movies, bei za vishoka
a sports hd - 2,000, match za tz kiganjani
real debrid - 12,000 - kustream na kushusha torrents moja kwa moja

silipii kila mwezi, ni kwa baadhi ya miezi tu
Mkuu unasema bei yavishoka wakat wahuni wana stream netflix bure kabsa
 
Mkuu unasema bei yavishoka wakat wahuni wana stream netflix bure kabsa
wao wana ujuzi wa kutumia netflix bure, wameona fursa ya kutuuzia account kwa nusu bei, Maisha ndivyo yalivyo mjini.
 
wao wana ujuzi wa kutumia netflix bure, wameona fursa ya kutuuzia account kwa nusu bei, Maisha ndivyo yalivyo mjini.
ila mnaotumia Netflix huwa hampati movies zote za nchi nyingine ! Ila kama utaka kupata movies za nchi nyingine weka vpn utapata kila kitu
 
ila mnaotumia Netflix huwa hampati movies zote za nchi nyingine ! Ila kama utaka kupata movies za nchi nyingine weka vpn utapata kila kitu
Binafsi napenda kucheki movies za Afrika, nazipata bila shida
 
1. Netflix
2. YouTube Premium family
3. Spotify
4. iCloud
5. Google drive
 
Back
Top Bottom