Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

Muhimu: usiweke porn

Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.

Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K.

A sports HD - 2,000, match za Tz, Caf, Epl, Uefa, n.k.

Alldebrid - 9,000 - kustream na kushusha torrents moja kwa moja
Nalipia google drive, lisence ya trados $915 kwa mwaka, memoq mara moja moja
 
Netflix mnajiunga kwa bei kubwa au kwakuwa mimi Sio mpenzi wa movies ,ila mwanangu huwa namnunulia kupitia taobao,subscription ya mwaka very cheap.Kwa 30 days naona wana rate ya roughly 7000 tsh kwa current exchange.
 
Back
Top Bottom