Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

ni link ila una tengeza kwa njia ya file na kuptch kwenye application inaitwa kodi
Nafahamu mkuu, swali langu ni free links au za kulipia? Na kama ni zakulipia ni hei gani kwa muda gani
 
Google drive unalipia storage au kitu gani.?
Ni ile Google one, ninalipia storage. Vitu Vyangu vingi nime-back up online. Ili ikitokea kwa bahati mbaya simu au external yangu yenye backup zikiharibika au nikiwa mbali nazo.
 
Reactions: Lax
Ni ile Google one, ninalipia storage. Vitu Vyangu vingi nime-back up online. Ili ikitokea kwa bahati mbaya simu au external yangu yenye backup zikiharibika au nikiwa mbali nazo.
Safi mkuu
 
Leta basi huo msaada. Na sisi tujue jinsi ya kutumia hiyo Net.. ya bure.
Utabarikiwa sana
 
1. Google One

2. YT Premium Family

3. Microsoft 365 Family
 
Google One 2TB, Backblaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…