Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

Nalipia google drive, lisence ya trados $915 kwa mwaka, memoq mara moja moja
 
Telegram premium ina maajab yapi
Una download vitu fasta kuliko ya kawaida napata feature safi una weza upload movie kwenye channel hata 10 naweza download movie zaidi ya 20 kwa wakati mmoja na zikaingia fasta
 
Netflix mnajiunga kwa bei kubwa au kwakuwa mimi Sio mpenzi wa movies ,ila mwanangu huwa namnunulia kupitia taobao,subscription ya mwaka very cheap.Kwa 30 days naona wana rate ya roughly 7000 tsh kwa current exchange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…