Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake na yeye akaanza kuwasogeza karibu kwa kuwarushia mahindi.
Kinachosikitisha ni kwamba Mbowe hakuwa na watu wake wa karibu wanaoweza kumshauri kuangalia hali ya hewa kwamba inaendaje?
Tundu Lissu na Lema nao wako kwenye hii kesi lakini wao machale yaliwacheza wakatoroka mapema ilikuwa ni lazima Rais Samia aanze kwa kuvunga kuwachukia Magufulist na utawala wa Magufuli hakumaanisha ila alivunga lengo ni kuwakamata Magaidi hii ndio maana ya ndege mjanja.