Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Lissu ameponea chupuchupu naye alikuwa mtegoni siku angedondoka tu Airport wangekula naye sahani mojaAkina Yericko Nyerere hawakuliona hilo licha ya kuandika mavitabu mengi uchwara ya ujasusi.
Lisu ameponea chupuchupu naye alikuwa mtegoni siku angedondoka tu Airport wangekula naye sahani moja
Akina Yericko Nyerere hawakuliona hilo licha ya kuandika mavitabu mengi uchwara ya ujasusi.
Bado unatetea utawala dhalimu na kufurahia ushenzi unaoendelea nchini?!Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake na yeye akaanza kuwasogeza karibu kwa kuwarushia mahindi...
Wewe umeandika kitabu kipiAkina Yericko Nyerere hawakuliona hilo licha ya kuandika mavitabu mengi uchwara ya ujasusi.
Manji karushiwa mtana kaingia King [emoji1780] akatua nchi ,,mara pa!!! kajikuta yupo tunduni ashukuru fedha zake ndiyo zimemnasua mtegoni,Lissu ameponea chupuchupu naye alikuwa mtegoni siku angedondoka tu Airport wangekula naye sahani moja
Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi,
Sijaandika kitabu chochote kile; una swali lingine?Wewe umeandika kitabu kipi zaid ya kuwa kasulu hapa
Ulipate na familia yako machadema hayana akili pyuuuuu!Kama Mbowe sio gaidi Basi naomba Mungu iwe kweli au wajitokeze magaidi kweli ili mwana kulitafuta (TZ) mwanakulipata yani tulipate haswaaaa
Mbowe alikwambia amekimbia kesi?Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake na yeye akaanza kuwasogeza karibu kwa kuwarushia mahindi.
Kinachosikitisha ni kwamba Mbowe hakuwa na watu wake wa karibu wanaoweza kumshauri kuangalia hali ya hewa kwamba inaendaje?
Tundu Lissu na Lema nao wako kwenye hii kesi lakini wao machale yaliwacheza wakatoroka mapema ilikuwa ni lazima Rais Samia aanze kwa kuvunga kuwachukia Magufulist na utawala wa Magufuli hakumaanisha ila alivunga lengo ni kuwakamata Magaidi hii ndio maana ya ndege mjanja.
Mngekuwa na akili nyie mapumbavu ya ccm msingechezea amani kiasi hiki.Ulipate na familia yako machadema hayana akili pyuuuuu!
Upelelezi kwao haujakamilika! Ukikamilika mtaanza kuuliza mbona Wamekamatwa Kenya? Mbona Wamekamatwa Brussels, subiri upelelezi uive!..Magaidi huwa wanasakwa na kukamatwa na INTERPOL.