Nje ya CHADEMA Lissu anawezana na Chama gani?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza?

2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi?

3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii

4. ACT Wazalendo: Lissu happening Zanzibar. Jee ataweza?

Karibuni
 
2. Nccr mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi?
3. Ccm. Ccm ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii
4. ACT wazalendo: lissu happening Zanzibar. Jee ataweza?
Karibuni
Lissu hawez kwenda vyama vilivyo fubaa, Cv yake ni kubwa kuliko hivyo vyama
 
1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza?

2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi?

3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii

4. ACT Wazalendo: Lissu happening Zanzibar. Jee ataweza?

Karibuni
Lisu ni mtu wa vurugu na kakosa busara
 
1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza?

2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi?

3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii

4. ACT Wazalendo: Lissu happening Zanzibar. Jee ataweza?

Karibuni
Lissu hatohama chama, labda mumfukuze.
 
Back
Top Bottom