Nje ya CHADEMA Lissu anawezana na Chama gani?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza?

2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi?

3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii

4. ACT Wazalendo: Lissu happening Zanzibar. Jee ataweza?

Karibuni
 
Lissu hawez kwenda vyama vilivyo fubaa, Cv yake ni kubwa kuliko hivyo vyama
 
Lisu ni mtu wa vurugu na kakosa busara
 
Lissu hatohama chama, labda mumfukuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…