bestchoicetz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2023
- 383
- 875
Ukifanya uchunguzi wa kina sana na ulio makini, utagundua kwamba hao watu au vijana wanaopenda kukaa kwenye maeneo kama hayo ni mawakala wa Siri. Utakuta wengi polisi jamii, polisi wa siri, hasa wale wanafanya kazi kwenye idara ya intelijensia ya jinai (CID) au mawakala wa hujuma wa "wazee wa kuvaa Kaunda suti".Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi nyie mmekosa mahali pa kwenda mpaka mje mkae hapo nje ya guest na kusababisha watu wanashindwa kutoka humo ndani. Si muende uwanjani au sehemu nyingine mkapigie hizo stori zenu?
Nje ya lodge ni mazingira hatari unaweza kuona vitu/watu ambao hukutakiwa kuwaona ikawa shida tena.
Naomba mjiheshimu
Mnapelekena lodge kufanya nini? Hauna kwako? Au unaishi kwenu? Au ndio mchepuko?
Acha uzinzi!
Kuwaona wanaotoka na wanaoingia kuna hatari gani? AU kujua mtu fulani anachepuka?Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu.