Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugeni wa muhimu tusiaibike kama taifa.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugeni wa muhimu tusiaibike kama taifa.