Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehem hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugebi wa muhimu tusiaibike kama taifa.
Haihusiani na nyumba ya Mwinyi. M watu upande wa pili wa barabara. Kuna bomba lineharibika ambapo yanatoka maji masafi yanafurika kila pahali. And, anyway,wapo watu wengi sana pale nje ya nyumba ya rais,wanachimbachimba mtaro,labda watarekebisha hali hiyoNi aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehem hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugebi wa muhimu tusiaibike kama taifa.
Ndiyo mpe taarifa jirani yako kwamba nyumba yao ingine imeibua ziwa Natron nje.Mwinyi tupo naye oysterbay huku
Duh pamoja na kuwa watoto wawili marais mmoja Zanzibar na mwingine huku bara! Wameangalie baba yao, aibu!Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehem hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugebi wa muhimu tusiaibike kama taifa.
Picha umeiacha ndani.Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehem hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugebi wa muhimu tusiaibike kama taifa.
Sasa wewe kama mwanausalama hapo si uweke bunduki pembeni ili uzibue hiyo mitaro?Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehem hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda wote, ikitokea tumepata ugebi wa muhimu tusiaibike kama taifa.