Nje ya Posta kuna njia nyingine ya kuagiza bidhaa zifike mkoani ?

Nje ya Posta kuna njia nyingine ya kuagiza bidhaa zifike mkoani ?

Ninawezaje kuagiza mzigo kutoka China Aliexpress hadi Mkoani
Mbona rahisi tu boss! Mpe muuzaji address ya warehouse za silent ocean kisha mzigo wako utakuwa shipped dar, baada ya kufika hapa utatumiwa ujumbe na kupewa 7 days za kulipia cost ya usafirishaji uliyopewa wakati mzigo umepelekwa warehouse China, kisha tafuta local transporters waliopo dar wakuchukulie mzigo wako kutoka godown la silent Ocean wakutumie mkoani kwako. Hizi kampuni local zipo nyingi kina Pax, Usiri, nk. Na hata International companies wanaosafirisha kwa meli au ndege wapo wengi pia, mimi nawatumia zaidi Silent Ocean maana hawajawahi nisumbua.
 
Back
Top Bottom