Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Nisaidie jinsi ya kupika hivi vitu kwenye jiko la gesi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nipike kesho nataka nipate jinsi ya kuvipika kuna siku nilinunua choroko niliishia kugawa tuunapika futari saa hii?
Wali naupika pekee ake na njegere naanzaje kuzipikapika wali wa njegere, then roast nyama yako.
Enjoy ka msosi
Wali wa njegere una mapishi mawili..Wali naupika pekee ake na njegere naanzaje kuzipika
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wali kivyake njegere kivyake nianze na hvyo kwanza nikijua taratibu nitamix vyoteWali wa njegere una mapishi mawili..
1. Kuzimix njegere ndani ya wali wako
2. Kupika wali separate na njegere
We unataka upi!
Wali si unajua kupika?Wali kivyake njegere kivyake nianze na hvyo kwanza nikijua taratibu nitamix vyote
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
NakaziaNasoma comments za wajuzi
Shukran sana kesho nitapika vitu vingi Nazi karoti hoho duWali si unajua kupika?
Njegere zichemshe ziive
Andaa carrot, kitunguu, hoho, nazi na nyanya 1 tu..
Weka sufuria yako jikoni, weka mafuta yakipata moto weka kitunguu kikiwa cha kahawia ‘ usisubiri kiungue’ weka hoho koroga kidogo na uweke carrot, hii carrot utumie grater kuikwangua.
Then utawekamo nyanya 1 tu nayo ikwangue.
Then weka njegere.. subiri zichemke kdg kuivisha nyanya
Then weka tui lako la nazi
Viache vichemke
Tayari hapo.
Sijui sana nilishazoea kupikiwa na mm nataka nijifunze kupika kidogo kidogoHebu subiri kwanza, yaani hujui kabisa kupika ndio unajifunza au unataka ujuzi zaidi?
KhaaaaMrejesho nimeshindwa kupika ni aibu tu[emoji21][emoji22][emoji22]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mrejesho nimeshindwa kupika ni aibu tu[emoji21][emoji22][emoji22]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Upo vizuripole sana
nyama njegere:
hatua za upishi:
- mahitaji:-
- nyama
- njegere
- nyanya
- vitunguu
- pilipili hoho
- karoti
- chumvi
- pilipili manga kidogo (sio lazima)
- kitunguu swaumu na tangawizi
- mafuta.
had hapo mbona yako ipo tayari kwa kuliwa.
- kataka nyama yako osha kisha changanya kitunguu swaumu na tangawizi na pilipili manga chumvi then weka jikoni (usiweke maji had nyama yako ianza kuchemka)
- osha njegere zako na uzichemshe kidogo tu ( kama dakika 5 hivi maana zinawai kuiva na zitaiva wakati wa kuunga nyama yako)
- katakata nyanya zako vipande vidogo vidogo, kata karoti na hoho zako vipande vidogo vidogo.
- nyama yako ikiiva itoe. bandika sufuri unayoitumia kuungia weka mafuta kiasi yakipata moto kaanga vitunguu vyako vikianza kuwa vya brown weka kitunguu swaumu na tangawizi (kidogo tu ) then weka nyanya zako. vipike kwa moto mdogo had ziive.
- nyanya zikiiva weka nyama yako, karoti na njegere vichanganye vizuri then ongeza kidogo supu ya nyama then acha ichemke kama dakika 3 alaf uweke hoho zako (hoho zina wekwa mwishon ili zisiive sana zikapoteza radha) utaacha vichemke kwa mda kidogo(dakika 2-3 zinatosha)
- unaweza ongeza supu kama utaona haikutoshi.
WALI:
Mahitaji:
Jinsi ya kipika:
- mchele
- iliki
- chumvi
- kitunguu
- karoti
- mafuta
NB: sijaweka vipimo maana sijajua idadi ya walaji pia nivumilie mm sio mwandishi mzuri
- osha mchele wako.
- bandika sufuria jikoni weka mafuta na kaanga vitunguu na karoti zako .
- vitunguu vikibadirika rangi kidogo tu weka mchele wako na anza kuukaanga kwa kama nusu dakika weka chumvi then tia maji kiasi cha kuivisha dondoshea na iliki kiasi (punje 3-4 inategemea na wingi wa wali wako) then funika acha wali wako uive.
- ukiiva unaweza zitoa iliki.