Njia 10 za Uchumba Salama

No 10, ni sawa Kama wote hawajatumia, Kama wametumika kufanya ni ruksa tofauti na hapo watajuaje Kama wanafanna.
 
No 10, ni sawa Kama wote hawajatumia, Kama wametumika kufanya ni ruksa tofauti na hapo watajuaje Kama wanafanna.
Kutumika hakukupi sababu ya kuendelea kutumika.
 
Wengine uliwapa kwa nn usimpe mtarajiwa!?, lakini utafaham vp Kama mnafanana, Kuna mwingine kazoea mbio ndefu mwingine fupi, mwingine kazoea guu la ng'ombe mwingine kibamia tu tosha, tumianeni then mfanye maamuzi.
 
Mbio ndefu na fupi zinatoka wapi wakati unatii hiyo amri ya Usizini?
 
Kama wote hamjawahi tumika mbio ndefu na fupi haziwahusu, lakini Kama mlishatumika shake b4 use inawahusu, mfano mwanaume hamjawahi, mwanamke amezoea kukunjwa salakasi za kila namna unategemea hatazitafuta nje atakapokosa ndani!? au alishafumuliwa Malinda unadhani hatatafuta Huduma hiyo nje akiikosa ndani!?
 
Kama ulidondoka Mara ya kwanza isiwe kisingizio Cha kidondoka tena.

Hata Kama mwanamke hajawahi na mwanaume amewahi,once mwanaume anapotubu basi Mungu humfanya kuwa kiumbe kipya na ya kale yote hupita..and vice versa is the same

Neema ya Kristo inatufundisha kukataa ubaya na kutenda mema.

Ukisema waendelee kufanya hivyo unakosea..
Ni sawa na wewe Leo umeona mtu anaua,
Basi unamwambia aendelee kuua kisa tu mwanzo aliwahi kuua.
 
khaaaaa........ kwanini sikuona huu uzi?[emoji44]

Saint Anne uliuficha ama....?, ngoja nisome ndipo nirudi kuchangia[emoji4]
 
Hapo sawa bro
 
Amina Mungu akubariki sana naomba nikuone pm kwa secret inshu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…