jadit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2019
- 273
- 212
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisikika mlevi mmoja hivi akuongea baada ya kunywa balimi mwitu(gongo)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisikika mlevi mmoja hivi akuongea baada ya kunywa balimi mwitu(gongo)
Hilo nalo neno mkuu unakuta unaishi na mchumba unamfanyia hayo yote mwisho wa siku anakumwaga daaaaaa[emoji26][emoji26] wanaume Mungu anawaonaWengine wanaenda kwa (boyfriend) zao
1 wanapika
2 wanafua nguo zoote chafu
3 wanafua mashuka na mapazia yoote
4 wanafanya usafi panabaki panang'ara
5 Wana..............kabisa
Mnajirahisisha wenyewe...
Mimi siwezi ruhusu mtu ambae sio mke wangu anifulie au anipikie au sijui niaje
(Ujana tu unanikimbiza hyo namba kumi pia ningeachana nayo)[emoji2]
Yaani wanawake wamgekuwa wazimgatia hili la mwisho naona sie wagegedaji tungekufa.Habari!
Natumaini wote ni wazima na namshukuru Mungu juu ya kila mmoja wetu. Natamani kushare nanyi mambo haya machache muhimu katika Uchumba:
1. Usiweke agano na mchumba.
Kuna Watu huwa wanajiapiza eti nisipokuoa/nisipoolewa na wewe bora nife kuliko kuoa/kuolewa.
Maagano ya namna hii yamewagharimu wengi.
Maandiko yanatambua agano la ndoa na si la uchumba.Acha mpango wa Mungu usimame kwenye uchumba wenu.
2. Usizae na mchumba ili akuoe.
Hii huwakumba Sana wadada.Wengi huingia kwenye huu mtego kwa kudanganywa na kuambiwa nizalie kwanza mtoto ndipo nikuoe.
Pia, kuna wadada hujitegesha. Kuna wadada hujitegesha wenyewe wapate mimba wakidhani watapendwa zaidi.
Wengi wamezalishwa na kutelekezwa.
3.Usioe/kuolewa na mtu asiyemcha Mungu.
Moyo wa mtu asiyemcha Mungu hauna hofu ya kitu chochote ndani yake.kufanya Jambo lolote kwako siyo tatizo kwake maana moyoni mwake hakuna hukumu.
4. Usikubali kuoa/kuolewa na mtu aliyekuwa kwenye ndoa tayari na ndoa ile ikavunjika na wewe ukataka kuingia naye kwenye ndoa bila kujua sababu za ndoa yake ya mwanzo kuvunjika.
Ni vema ukajua sababu kupitia kutafuta taarifa kwa watu wengine na si kwake maana atakudanganya.
5. Uchumba usiwe Siri.
Unaweza kujikuta unaoa/unaolewa na mume au mke wa mtu bila kujua.
6. Usioe au kuolewa na mtu kwa sababu unamhurumia.
Ni kweli kaonyesha upendo,Ni kweli anakujali lakini je!huyo mtu yumo moyoni mwako?unampenda? Au unajilazimisha kwa sababu ya zawadi anazokupa.
Ndoa nzuri ni ile ya watu wawili wanapendana na si ya upande mmoja.
7. Msichukuane kienyeji.
Ndoa Ina taratibu zake na taratibu hizo Zina baraka zake. Usijiweke kwenye mazingira ya kuibiwa usiku.
8. Acha kujiaminisha Sana kwamba utamuoa au utaolewa naye.
Kumbuka uchumba siyo ndoa.Lolote linaweza kutokea Kama siyo upande wako basi upande wake. Ruhusu mpango wa Mungu utimie na si utashi wako.
9. Epuka kumhonga mchumba vitu vya thamani kubwa, kumsomesha nk.
Usiwekeze Sana kwa mchumba. Lakini Kama unadhani uchumba ujivunjika hutaumia mpe,ila Kama unaona uchumba ukivunjika utaumia usimpe.
Simaanishi wachumba wasisaidiane,Kuna viwango vya kusaidiana wachumba. Mengine hayo ukitaka kuyafanya weka ndani.
10. Usizini.
Tendo la ndoa ni kwa wanandoa na ndiyo maana linaitwa tendo la ndoa na si tendo la uchumba. Ukiona mchumba anataka tendo Hili kwa Kasi kubwa huku akikwambia siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia jua huyo hana mpango wa ndoa.
Niwatakie siku njema
Hilo nalo neno mkuu unakuta unaishi na mchumba unamfanyia hayo yote mwisho wa siku anakumwaga daaaaaa
wanaume Mungu anawaonaikumbukwe![]()
Mwanaume akikuppenda nakupenda tu usihangaike na hayo yootee,kazi buteHilo nalo neno mkuu unakuta unaishi na mchumba unamfanyia hayo yote mwisho wa siku anakumwaga daaaaaa[emoji26][emoji26] wanaume Mungu anawaona
Kabisaaaaa nimejifunza kituMwanaume akikuppenda nakupenda tu usihangaike na hayo yootee,kazi bute
mchumba anasomeshwa ila elimu ya dini au ushonimarufuku kusomesha mchumba
😂😂😂😂Hio 10 uongo mchumba wangu [emoji1787][emoji1787]
Sex muhimu sana