Njia 10 za Uchumba Salama

Hiyo namba 10 nitaikubali kwa sharti moja tu kwamba nitakapokuoa nikakuta ulishatumika tayari navunja ndoa.
 
Mtu anapokuwa ndani ya Kristo ya kale yote hupita na huwa Mapya.
Wanawake wote tuna Haki ya kuitii hiyo namba 10 bila kujali tunazo bikra au hatuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa kwa kawaida kama hujawahi kufanya sawa lakini ushawahi it means kuna kiraha flani unakipata, sasa inakuwaje mimi nnayetaka kukuoa unaninyima, Je hako karaha unakapata kwa nani maana uchumba unaweza kudumu mpaka miaka 2 je utakapata kwa nani? Na ukishakula nyama ya mtu lazima uendelee tu so usiniambie kuwa utasimama kusubiri ndoa.
 
Kuwahi kufanya hakukupi uhalali wa kuendelea kufanya.
Kuwahi kufanya isiwe sababu ya kufanya tena...
Kuwahi kufanya hakukupotezei Haki ya kujilinda na kutokufanya.

Maamuzi sahihi ya kusubiri Ni muhimu bila kujali background ya mwanzo[emoji4].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unadhani utaendelea kufanya kwa kupenda? Ushamegwa ww so ni lazima uendelee hata ukijifanya mgumu jamaa alokumega anakusubiri kwenye ovulation period tu anaomba mzigo, utakataaje wkt keshakufunua? Mm km mwanamke keshawahi kuguswa asiniambie hbr za kusubiri nkamuelewa cz najua atamegwa tu.
 
Lazima nimgomee.
Wadada lazima wajifunze kuikimbia hii dhambi.

Mnawaumiza Sana wanawake katika hili na I wish wangejua kukataa.
Kukataa ni haki Yao.

Pole kwa kuwa na mawazo hasi namna hiyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima nimgomee.
Wadada lazima wajifunze kuikimbia hii dhambi.

Mnawaumiza Sana wanawake katika hili na I wish wangejua kukataa.
Kukataa ni haki Yao.

Pole kwa kuwa na mawazo hasi namna hiyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mcmamo wangu pengine hujauelewa dada, ni hv ntakubali kugusana mpk ndoa ila na ww uwe hujaguswa mana ncje nkawa nachezwa shere wanawake wanafki sn[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mm mcmamo pengine hujauelewa dada, ni hv ntakubali kugusana mpk ndoa ila na ww uwe hujaguswa mana ncje nkawa nachezwa shere wanawake wanafki sn[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ondoa kwanza hayo mawazo hasi.
Kwahiyo unakubali kuhalalisha dhambi???
Mungu hajatuagiza hivyo.

Na ninazidi kuwashauri wadada wasikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point tupu
 
Huwezi kumhukumu mtu kwa makosa ya mwanzo.
Mwanzo nimekwambia mtu akitubu ya kale hupita na huwa mapya,umeielewa hii sentensi yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ss ndipo tunapokuja paleee kwenye suala la unafki wa mwanamke, hv unaelewa ule msemo mwanamke asomeshwi? Yn wanawake wapo tofauti sn na cc wanaume they are not fair kabisa, pia kihisia mwanamke na mwanaume wapo tofauti.

Mizani ya mapenzi baina ya mwanamke na mwanaume inatofautiana, mnapoanzisha uhusiano kwa kawaida mwanaume anazd upendo ila baada ya muda upendo unageuka inakuwa mwanamke ndo anapenda zaidi, ss ww unadhani ni kitu gani kinachofanya mwanamke apende zaidi? Au unadhani ni chips kuku[emoji3][emoji3].

Women don't sometimes seem to be fair, unaeza muhudumia kwa kila kitu na akashindwa ku consider, tofauti na men, hapo ss ndipo tunapohofia mana maumivu yake huwa ni makubwa mno yn umehudumia af kumbe kuna mtu anakula kiulaiiniii.
 
Hilo la kusomeshwa ni kweli na nimiweka kwenye point zangu pale juu .
Jukumu la kumsomesha mwanamke/mpenzi ni la wazazi pia kumbuka tendo la ndoa ni kwa wanandoa

Kumpenda sana mtu hakuhusiani na hiyo kitu mbona.
Upendo niupendo tu na katika hili nitakubishia sana maana Mimi ni mfano hai..
Huwaga tunatokea tu kupenda sana,tena bila hiyo kitu.Tunampenda mtu hadi anachanganyikiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa sio hawa wanawake wa leo labda ukiona hivyo ni utoto tu huo na c vinginevyo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama umeielewa usingeandika hayo uliyoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia percentage ya ukatili wa wanawake kwenye mapenzi most of them don't even care about feelings za mwenzie na ndiyo tatizo lenyewe linalofanya wanaume tukatae hbr za kusubiri, ukitaka ndoa vua nikumege zen at least utaziheshimu hisia zangu kinyume cha hapo ni utoto tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…