anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea.
1. Blogger.
Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata mahitaji na taarifa mbalimbali.
Wengi wilizoea google hapana. WordPress inakupa uwanja pia kufungua site na kuganya jambo mule.
2. YouTuber. Njia hii itataka ujipambanue zaidi. Hapa unapaswa uendee jambo specific. Uwe na zana kama kamera au simu tu. Uwe unarecord na ku upload video zako.
Wazoefu wanadai inatakiwa upload video nyingi iwezekanavyo katika content mahususi. Kwa mfano. Mwalimu wa hesabu anaweza aanze kupiga kanuni zake na kurusha na ni kwania ya kuelemisha.
3. Biashara ndogondogo. Bidhaa za kuuza ni nyingi. Hapa utatakiwa ufanye utafiti wa hiitaji la jamii husika hatua hii itasaidia kuweza kutoa ajira pia.
4. Kilimo. Nchi yetu ina maeneo mengi yenye rutuba. Uzur wake si lazima ukalime wewe. Utatuma pesa uandaliwe shamba, lilimwe kupandikiza, na kuvuna. Cha msingi usiache kufika shambani..
5. Usafirishaji- gari.pikipiki vinaweza kuku saidia