titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Navifahamu mkuu na nimeshaishi kwenye mazingira hayo,lakini kamwe isiwe ni kusingizio cha kutopendezesha maisha yako na kutokuwa na mpangilio mzuri wa sehemu unayoishi.vyengine wala havina gharama.Hivi unavijua vile vyumba ambavyo ukiweka tu kitanda kimejaa?