Njia 7 za kupendezesha meza ya chakula

Hivi unavijua vile vyumba ambavyo ukiweka tu kitanda kimejaa?
Navifahamu mkuu na nimeshaishi kwenye mazingira hayo,lakini kamwe isiwe ni kusingizio cha kutopendezesha maisha yako na kutokuwa na mpangilio mzuri wa sehemu unayoishi.vyengine wala havina gharama.

Hapa suala sio kupendezesha, tatizo ni nafasi ya kuweka hiyo dinning table, sasa kama kitanda kishajaza chumba hiyo meza inakaa wapi? Maana inabidi nitoe kitanda ili niweke meza.
 
Anhaa kama ni hivyo basi hii mada itabidi upite tu kujifunza,walengwa nadhani watakuwa wale wenye meza tayari,so wanafundishwa namna ya kuzipamba
 
Ndio maana nilisema tunaoishi stoo haituhusu.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…