ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asante sana mkuuConcubine :- kuna riwaya ya kiingereza inaitwa hivyo kwa waliosoma hapa Tanzania somo la literature.
Njia nzuri na rahisi ya kujua kiingereza kuwa msomaji wa vitabu na soma vitabu ambavyo ni none-fictional .
Faida zake utapata personal growth ,na kiingereza utajua kwa haraka.
Kuangalia movies pia kiingereza utajua Ila hautaweza kupata Content za kukujenga kichwani
Mimi pia naamini katika usomaji wa vitabu.Concubine :- kuna riwaya ya kiingereza inaitwa hivyo kwa waliosoma hapa Tanzania somo la literature.