Nipe jibu ndugu zangu
Nipe jibu ndugu zangu
Mkopo unaombwa kwa kutumia no ya kidato cha nne ambapo utalipia kwa njia ya mpesa.Lakini kwa ushauri husiandike kuwa wewe ni inservice.Pindi utakapotuma fomu yako ambatanisha chet cha form 4,6 na cha kuzaliwa.Kwani ht mimi ni inservice nipo Ruco nalamba loan na salary kama kawa.Do not say you have been employed even though you did examination as private candidate.
Ambatanisha yote kwani mkopo ni haki yako (kwani uta ulipa wewe), tena ukumbuke pale kwenye nafasi wazi , waombe Grade A, make mkopo ni hiari yako, ukipendacho ww na wasikuwekee masharti ya grade usiyo itaka. Angalizi: Hawa HESLB wanatabia ya kuwapa insevice grade ndogo (Either Grade D OR E au meals tu)wakidhani wana kazi hivyo watamalizia ada au mahitaji mengine wenyewe. Pia huwa wana tabia ya kudought huyu mtu alimaliza kitambo alikuwa wapi hadi leo ndio atumie matokeo ya SIX 6 tu!! Hivyo wanaweza kukupotezea kwa kudhani umeiba cheti au ulisha soma bachelor nyingine hapo awali. Ila kwasababu kuna massive failure takiribani miaka 3 mfululizo huenda, wasiangalie hiki.
Kwa ushauri wangu: Ambatanisha vyote kurahisisha mambo. Kila la kheri ndg.
online CAT ina sehemu mbili six level(principle 2) or diploma level gpa2.7....!, ataunganishajee vyote mkuu.?ufafanuzi plz maana.
Oooooh, sory mkuu nilikuwa nimesahau kuwa walisha toka Analogy na sasa wako Digital. Cha kufanya atumie cha Diploma, naamni kwenye Blank spaces za hizo online forms zina sehemu za namba na shule za mwanafunzi alikosoma O-level na A-level. Hivyo watapata infor zote at once.