Njia bora ya kuomba mkopo utumie matokeo ya six au diploma kwa insevirce?

Ni vyema ukatumia matokeo ya Form 6. Kwa kutumia matokeo ya diploma unaweza kupunjwa kiasi cha mkopo na kupewa kidogo au usipewe kabisa. Lakini pia inategemea na kozi utakayo soma,kama sayansi wanaweza kukupa mkopo mkubwa hata kama ni in-service kutokana na hawa watu kuthaminiwa na serikali kuliko wale wa fani za sanaa. Pia tambua mkopo ni kama zali tu unaweza pata au usipate kabisa au ukapata kidogo sana licha ya kuwa mhitaji.
 
by the way....: inapendeza kutumia cheti cha form six endapoo pale uwe umemaliza miaka2 nyuma jumlishaa mwaka unao ombea loan .....!it means kma unaomba 2014/2015 bas form six yako uwe umemalizaa 2013 or 2014 ndo inapendezaa ..,pia kwa kutumia diploma inapendeza uwe umemaliza miaka ya karibu na mwaka unaotaka kuomba loan from HESLB

NOTE; Kuhusu waliomaliza miaka ya nyumaa sana nao wanahakii ya kuomba.

SO CHAGUA JIBU SAHIHI.....according to you

for me MAWAZO YANGU NDO HAYOO......!
 
Nipe jibu ndugu zangu

Mkopo unaombwa kwa kutumia no ya kidato cha nne ambapo utalipia kwa njia ya mpesa.Lakini kwa ushauri husiandike kuwa wewe ni inservice.Pindi utakapotuma fomu yako ambatanisha chet cha form 4,6 na cha kuzaliwa.Kwani ht mimi ni inservice nipo Ruco nalamba loan na salary kama kawa.Do not say you have been employed even though you did examination as private candidate.
 
unajiongezea madeni mkuu...!
 
Kama cheti chako cha frm six kina ufaulu mzuri bora utumie cha six mkuu
 
Ambatanisha yote kwani mkopo ni haki yako (kwani uta ulipa wewe), tena ukumbuke pale kwenye nafasi wazi , waombe Grade A, make mkopo ni hiari yako, ukipendacho ww na wasikuwekee masharti ya grade usiyo itaka. Angalizi: Hawa HESLB wanatabia ya kuwapa insevice grade ndogo (Either Grade D OR E au meals tu)wakidhani wana kazi hivyo watamalizia ada au mahitaji mengine wenyewe. Pia huwa wana tabia ya kudought huyu mtu alimaliza kitambo alikuwa wapi hadi leo ndio atumie matokeo ya SIX 6 tu!! Hivyo wanaweza kukupotezea kwa kudhani umeiba cheti au ulisha soma bachelor nyingine hapo awali. Ila kwasababu kuna massive failure takiribani miaka 3 mfululizo huenda, wasiangalie hiki.
Kwa ushauri wangu: Ambatanisha vyote kurahisisha mambo. Kila la kheri ndg.
 
online CAT ina sehemu mbili six level(principle 2) or diploma level gpa2.7....!, ataunganishajee vyote mkuu.?ufafanuzi plz maana.
 
Oooooh, sory mkuu nilikuwa nimesahau kuwa walisha toka Analogy na sasa wako Digital. Cha kufanya atumie cha Diploma, naamni kwenye Blank spaces za hizo online forms zina sehemu za namba na shule za mwanafunzi alikosoma O-level na A-level. Hivyo watapata infor zote at once.
 
hapo sawa
 
Wengi wanaopata mkopo ni wale wanaotumia vyeti vya form 6. Hvyo basi, kama wewe ni mwajiriwa na unataka kwenda kusoma na kujihakikishia nafasi nzuri ya kupata mkopo, tumia cheti cha form 6. Cha diploma weka mbali kabsa, tena ikiwezekana wasijue kabisa kama umeajiriwa.
 
Back
Top Bottom