Njia gani bora kuukabili huu ushindani

1.shughulika na wateja wako sio biashara ya wenzako.
2.wapende wateja wako.
3.kauli nzuri, ucheshi na tabasamu.
mimi hata niwe nimefunga duka siku za sikukuu au dharura yeyote.
Nitapigiwa simu kwanza.kama sintorudi mapema ndo aende kwingine.
 
Boresha huduma, pale wanapokosea wenzako paboreshe zaidi
 
Nimesoma kitabu kimoja kinaitwa blue ocean kinasema the best way to beat competition is to avoid beating the competition.

Kuna memba mmoja aliweka njia threa inayoolezea jinsi ya kuua ushindani na kupata wateja

Nadhani hii njia ndio naona nzuri, wakati ukiendelea kufuata maoni ya wadau pia unaweza soma hiki kitabu kinaiwa Blue Ocean Strategy.
 
Ungetaja ni biashara gani ingekua msaada sana mtu anae toa ushauri ajue anakushaurije!
 
Kwanza naomba kujua n biashara gn ndo tuanze ushaur

Strategies znatofautiana kulingana n biashara
 
Ni biashara ya kuuza juice maji kwa ujumla vinywaji
Kwanza weka delivery service

Then tanua biashara yan ongeza huduma ambazo wengine hawana....hii husaidia kutanua upatikanaji wa pesa...ukikosa huku unapata kwngne...or unapata kote

Weka vocha hasa za kurusha ndo zna faida

Pia lugha nzur kwa wateja...wew pamoja n vijana wako
 
Mkuu asante kwa ushauri kwa kweli umenisaidia
 
Mkuu nikishusha bei si nitaleta vita na wale wezangu
Kama inakulipa weka bei unayotaka si wamekukuta bhn!!? Wamecopy idea yako kwa lengo la kukupokonya wateja, na wewe panga bei unayotaka ilimradi tu iwe inakupa maslahi
 
Vocha hazina faida bhn, unajua faida anayopata mtu kwa kila vocha? Vocha ni ya kuvutia wateja kununua bidhaa nyingine lakini vocha kama vocha haina faida kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…